Government Jobs Full Time Expired

OFFICE MANAGEMENT SECRETARY

Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi • mkoa wa Songwe

This job has expired and is no longer accepting applications.

You can still review the job details, but this opportunity is unavailable.

Salary
TGS C
Deadline
01 Oct 2026
Posted
21 Sep 2026
Location
mkoa wa Songwe

Job Description

Job Title: OFFICE MANAGEMENT SECRETARY Company: Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Position: 5 Positions

Responsibilities

  • Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawadia na za siri;
  • Kupokea wageni na kuwasikiza shida zao na kuwaelekeza wanapoweza kusaidiwa;
  • Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine;
  • Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi;
  • Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu husika;
  • .Kukusanya, kutunza na kuyerejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika;
  • Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mablimbali;
  • Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi; naix.Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

Qualifications

  • Kuajiriwa Wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (NTA Level 6) ya Uhazili (Secretarial Studies). Aidha, wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 80 (80.w.p.m) kwa dakika moja na kupata mafunzo ya programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

Location

Map and area overview

mkoa wa Songwe