Trades & Services Full Time Expired

WAHUDUMU WA MADUKA

GLATO COMPANY LIMITED • Dar es Salaam

This job has expired and is no longer accepting applications.

You can still review the job details, but this opportunity is unavailable.

Salary
500,000
Deadline
Open
Posted
Recently
Location
Dar es Salaam

Job Description

Nafasi: Wahudumu wa Maduka Idadi ya Nafasi: 27 Jinsia: Wanawake pekee Umri: Miaka 18–30 Elimu: Kuanzia Kidato cha Nne (Form Four) Mshahara: TSh 500,000/= kwa mwezi Maeneo ya Kazi: Mlimani City & Restaurant Posta Njia ya Maombi: WhatsApp pekee

Responsibilities

  • Kuuza bidhaa katika maduka kwenye branch zetu za mlimani city na posta

Requirements

  • Awe mwanamke mwenye umri wa miaka 18–30.
  • Awe na elimu ya kuanzia Kidato cha Nne (Form Four).

Skills

Awe mwenye nidhamu uaminifu na kujituma kazini. Awe na uwezo mzuri wa kuwasiliana na wateja. Awe mchangamfu msafi na mwenye muonekano mzuri. Awe tayari kufanya kazi kwa muda unaohitajika. Awe na uwezo wa kufanya kazi kwa ushirikiano na timu. Uzoefu wa kazi katika huduma kwa wateja madukani au restaurant utakuwa faida.

Location

Map and area overview

Dar es Salaam